ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,063
- 51,913
Kwa hiyo huko mtaani kwako huwa huyaoni haya ? Kama hutaki makaratasi Kuna picha hizi hapa za Wavuvi wakipewa Boti na Samia,au nazo ni Makaratasi? 😁😁👇Tabu mnaongelea makaratasi lakini ukija huku mtaani mambo hayako hivyo,mnandanganya Samia kwa takwimu za uongo,nenda kwenye duka lolote la pembejeo uliza bei ya mbolea aina ya Yurea inauzwa sh ngapi?kwanza kukupa hiyo bei wanakutizama usoni kwanza au utumie mtu wanayemfahamu la sivyo unaabiwa mbolea amna,mnadanganywa na Bashe na BBRM kumbe utapeli mtupu, Subiri mwakani uone njaa,Kama uzalishaji umeongezeka mbona bei ya mchele ahishuki?juzi hapa mmetoka kupokea mchele wa msaada kutoka America.Hizo takwimu danganya machawa wenziwe.