Andy Williams - The Exodus Song (This Land Is Mine) (traducere în Swahili)
  • Andy Williams

    The Exodus Song (This Land Is Mine) → traducere în Swahili→ Swahili

Favorite
Acțiune
Font Size
Traducere
Swap languages

Wimbo wa Kutoka (Nchi hii ni yangu)

Nchi hii ni yangu, Mungu alinipa nchi hii
Alinipa nchi hii shujaa na ya kale
Na jua la asubuhi linapofunua vilima na tambarare zake
Kisha ninaona nchi ambayo watoto wanaweza kukimbia huru
 
Kwa hivyo, shika mkono wangu na tembea katika nchi hii nami
Na tembea katika nchi hii nzuri nami
Ingawa mimi ni mwanaume tu, ukiwa nami
Kwa msaada wa Mungu, ninajua kwamba ninaweza kuwa na nguvu
 
Ingawa mimi ni mwanaume tu, ukiwa nami
Kwa msaada wa Mungu, ninajua kwamba ninaweza kuwa na nguvu
 
Ili kufanya nchi hii kuwa ukao yetu
Ikiwa ni lazima nipigane, nitapigana ili kufanya nchi hii kuwa yetu
Mpaka nife, nchi hii ni yangu
 
Versuri originale

The Exodus Song (This Land Is Mine)

Fă click aici pentru a vedea versurile originale (Engleză)

Comentarii